Aslay: Sina Bifu na Beka by Jeff awala
- HUKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi pamoja katika Yamoto Band, msanii huyo amefunguka kuwa hakuna bifu lolote kati yao.
Akizungumza na Gazeti la Risasi, Aslay alisema kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa kuwa katika msigano na Beka Flavor kitu mbacho si kweli kwani wao ni washkaji licha ya kutofanya kazi pamoja kwa sasa.
“Mimi na Beka ni washkaji vibaya sana, tena mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa jana (juzi), mashabiki ndiyo wanakuza mambo hayo lakini ukweli ni kwamba sina bifu na Beka,” alisema Aslay.
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependajeffplatnezzmusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffplatnezzmusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0738747996 na kwenye facebook: jeff platnezz..![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlgAhXOaPVQ83F00hM5eNQYT4skBBn9_s0z9HptxfReE3BFMABFzsO4R6XZS1cth1oBF1loOxMGgwOlRk3ycM7ThT-PFh12ByuvFahRt9AY7mfDhiL5T9jk9YBrQM1Zh-byTANzH9pzCOd/s1600/th+%25282%2529.jpg)
No comments:
Post a Comment
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa jeffawalamusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffawalamusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0723410366 na kwenye facebook: jeff platnezz..
Do you have a hot story or scandal you would like me to publish, please reach me through jeffawala@gmail.com or telephone: 0723410366 and facebook: jeff platnezz jeffawalamusic.blogspot.com