Friday, August 24, 2018

Hamisa Mobetto abainisha, yuko tayari kuolewa na Diamond Platinumz by Jeff Awala.

  •  Hamisa alidai kuwa wanaume wengi wametaka kumuoa lakini akawakataa . Alieleza kuwa yuko tayari kuoana na Diamond Platinumz maana wanafaana . Kulingana naye, kuwa na mtoto wa Diamond ni thibitisho tosha kubaini kufaana kwao Habari Nyingine : Afisa wa polisi apiga mtindi hadi kujisahau, airusha bunduki yake barabarani Mpango wa pembeni wa Diamond Platinumz Hamisa Mobetto amekiri kuwa yuko tayari kufunga rasmi pingu za maisha na msanii huyo tajika wa Bongo. Akinululiwa na jarida la Amani, Hamisa alisema kuwa atamkubali Diamond maana amebaini kuwa wanafaana. ‘’ Nam, nitakubali kuolewa naye,’’ Hamisa alisema alipoulizwa kama angekubali kuolewa na Diamond. 
  • Mama huyo wa watoto wawili alibaini kuwa amewakataa wanaume wengi ambao wametaka kumuoa maana anahisi kuwa hawamfai. ‘’ Wanaume wengi wametaka kunioa, lakini ili kwa mtu kuolewa na mwengine lazima mfaane, mimi na Diamond tuna hilo, tumekuwa na mtoto pamoja. Nina mtoto mwengine sawa naye ambaye ana watoto na wanawake wengine,’’ Hamisa alisema. 
  • Alipoulizwa kama uhusiano wake na Diamond ungali upo, alilipuuza swali hilo huku akiangua kicheko. ‘’Hahahaha, Siwezi kulijibu hilo,’’ Hamisa aliliambia jarida la Amani. 
  • Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependajeffplatnezzmusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffplatnezzmusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0738747996 na kwenye facebook: jeff platnezz..

No comments:

Post a Comment

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa jeffawalamusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffawalamusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0723410366 na kwenye facebook: jeff platnezz..

Do you have a hot story or scandal you would like me to publish, please reach me through jeffawala@gmail.com or telephone: 0723410366 and facebook: jeff platnezz jeffawalamusic.blogspot.com