Msanii wa Muziki wa Bongo fleva kutoka katika label ya WCB, Maromboso au maarufu kama Mbosso amekiri kuwa na watoto wawili katika umri mdogo ni matokeo ya balehe.
Mbosso ambaye kwa hivi sasa anaendelea kufanya vizuri na ngoma yake ya “Nadekezwa” ni Baba wa watoto wawili ambao watoto wote wana umri sawa lakini ni mama tofauti.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Bongo 5, Mbosso amekiri kuwa pamoja na kila mmoja kuwa na mama yake lakini hana uhusiano na kama zao kwa sasa kila mmoja ameshaolewa.
"Sipendi kuwa muongo na sitakuwa na dhambi ya uongo, huwa inatokea katika ukuaji (balehe) hususani sisi watoto wa kiume, kuna vitu utajizuia navyo lakini hutashindwa tu.
Kwa hiyo sitaki kuwa muongo, ilitokea ikawa hivyo nimekuwa baba nina watoto wangu wawili, tunaishi vizuri“.
Mbosso alianza muziki katika umri mdogo baada ya kujiunga Kwenye kundi la muziki la Yamoto Band miaka kadhaa.
I think of myself as a hard-working person but at the same time I like to enjoy the life i live i consider myself ambitious with the work; I always have a new goal to achieve. To some extent, you never stop learning so everyone should be ambitious about work. i take music as a big part of our lives and music can help us to pass the time or to connect us to our roots for me listening to music takes the whole brain and has positive and beneficial effect.
Friday, August 24, 2018
Aslay: Sina Bifu na Beka by Jeff awala
- HUKU kukiwa na fununu za kuwepo kwa bifu zito kati ya Aslay na mwanamuziki mwenzake Beka Flavor, ambao walifanya kazi pamoja katika Yamoto Band, msanii huyo amefunguka kuwa hakuna bifu lolote kati yao.
Akizungumza na Gazeti la Risasi, Aslay alisema kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa kuwa katika msigano na Beka Flavor kitu mbacho si kweli kwani wao ni washkaji licha ya kutofanya kazi pamoja kwa sasa.
“Mimi na Beka ni washkaji vibaya sana, tena mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa jana (juzi), mashabiki ndiyo wanakuza mambo hayo lakini ukweli ni kwamba sina bifu na Beka,” alisema Aslay.
Dimpoz reveals how Governor Joho saved his life.
Ommy Dimpoz is a lucky man to be alive after undergoing a 12-hour operation that left him in a coma.
Missing from the entertainment scene for a while now, the bongo crooner has much to be grateful for and of those he owes a big thank you to is none other than Mombasa governor, Hassan Joho who came to his rescue.
‘’Governor Joho noticed that I was having problems swallowing food during Alikiba’s wedding in Mombasa. I could barely swallow anything. He offered to take me to his personal doctors for checkup,’’ speaking to a local tabloid Ommy disclosed.
After the much-needed consultation took place Joho’s doctors advised the ‘Yanje’ hitmaker to go to South Africa for specialized treatment after it was discovered that his condition was dire.
With support from Ali Kiba’s recording label where he is signed, RockStaar 4000 Management and the Mombasa governor, funds were raised and the artist was flown to South Africa for treatment where he is said to be recuperating from.
However, it would not be a breeze and the doctors discussed the risks of the operation.
Quoted by Nairobi News, Ommy revealed that he wasn’t so sure he would come out of it alive.
The operation was to rectify his esophagus all the way from his throat which took over 12 hours and despite being successful he was left in a coma.
‘’When I woke up, I was informed I had been into a coma for nine days. It was a major operation all the way down to my stomach and I thank God I am alive. I’m also very grateful to Governor Joho and Alikiba,’’ the bongo artist said.
It is not clear when he will be discharged but speaking to the tabloid, the ‘Hello Baby’ revealed that he has plans to fly to Mombasa where he would continue to recover from.
‘’Nilipitia kipindi kigumu kidogo.. Nilikuwa naumwa nimefanyiwa operation kubwa kwa hiyo nimetumia kama siku 15 hospitali lakini namshukuru Mungu nimetoka sasa hivi na I hope I will come back stronger….asanteni sana,’’ Ommy Dimpoz says in his last video posted on June which has since garnered thousands of comments.
Ommy Dimpoz Governor

Hamisa Mobetto abainisha, yuko tayari kuolewa na Diamond Platinumz by Jeff Awala.
- Hamisa alidai kuwa wanaume wengi wametaka kumuoa lakini akawakataa . Alieleza kuwa yuko tayari kuoana na Diamond Platinumz maana wanafaana . Kulingana naye, kuwa na mtoto wa Diamond ni thibitisho tosha kubaini kufaana kwao Habari Nyingine : Afisa wa polisi apiga mtindi hadi kujisahau, airusha bunduki yake barabarani Mpango wa pembeni wa Diamond Platinumz Hamisa Mobetto amekiri kuwa yuko tayari kufunga rasmi pingu za maisha na msanii huyo tajika wa Bongo. Akinululiwa na jarida la Amani, Hamisa alisema kuwa atamkubali Diamond maana amebaini kuwa wanafaana. ‘’ Nam, nitakubali kuolewa naye,’’ Hamisa alisema alipoulizwa kama angekubali kuolewa na Diamond.
- Mama huyo wa watoto wawili alibaini kuwa amewakataa wanaume wengi ambao wametaka kumuoa maana anahisi kuwa hawamfai. ‘’ Wanaume wengi wametaka kunioa, lakini ili kwa mtu kuolewa na mwengine lazima mfaane, mimi na Diamond tuna hilo, tumekuwa na mtoto pamoja. Nina mtoto mwengine sawa naye ambaye ana watoto na wanawake wengine,’’ Hamisa alisema.
- Alipoulizwa kama uhusiano wake na Diamond ungali upo, alilipuuza swali hilo huku akiangua kicheko. ‘’Hahahaha, Siwezi kulijibu hilo,’’ Hamisa aliliambia jarida la Amani.
- Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependajeffplatnezzmusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffplatnezzmusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0738747996 na kwenye facebook: jeff platnezz..
Aiming high! Diamond Platnumz announces launch of new business venture.
Diamond Platnumz is a young man with lots of business acumen. The singer now runs a conglomerate that includes music empire, media house, food and perfume production company.
The Bongo singer launched his own TV station -Wasafi TV just two months ago and he is already thinking of expanding his media business.
Diamond talked about launching a radio station during his recent visit to Mayotte – an Island located between Madagascar and Mozambique.
Before the year ends
Speaking during an interview on Mayotte 1ère Radio, Diamond stated that the success of Wasafi TV has inspired him to launch Wasafi FM soon.
Diamond Platnumz and his manager Sallam SK Mendez during the interview on Mayotte 1ère Radio
He revealed that he would launch Wasafi FM before the year ends;
“Nimefungua Tv inaitwa Wasafi TV na inafanya vizuri sana na tupo katika mikakati ya kuhakikisha inapatikana bara zima la Afrika na ulimwenguni kote. Lakini pia mwezi wa kwanza au mwishoni mwa mwaka huu tunafungua pia Wasafi FM itakuwa hewani,” said diamond.

Alikiba quits music? Coastal Union F.C. confirms singer on the verge of signing as a player for the club.
Alikiba’s love for football is only second to his love for music, the singer has confessed multiple times before that he would have been a football player if he hadn’t made it in music.
It seems Kiba is on the verge of realizing his dream of becoming a football player. The Arsenal and Young Africans Sports Club (Yanga) super fan will however sign to another club –Coastal Union F.C. as a player.

Shuga Mamy wa Harmorapa Afunguka Mazito Kuhusu Aslay.
Mwanadada amanesemekana katika mitandao ya kijamii kuwa kwa sasa amemuweka ndani harmorapa na kumsaidia kwa kila kitu mpka afamilia yake anajulikana kama khadija ziota kutoka mwanza amefunguka mambo makubwa na mazito kuhusu msanii anaefanya vizuri sana katika tasnia aslay.
Mwanadada huyo anaekiri kuwa aliwahikuwa na mahusiano na wasanii wengi sana na kuwa anawasaidia lakini baadae wanakuja kuachana nae , anasema kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na aslay na kumsaidia sana lakini alikuja kumuacaha kwa sababu ya kuchoka kuwa anaombwa pesa kila siku
" Mimi na aslay tulishwahi kutembea, tulishakuwaga wapenzi,tulishafanya vitu vingi tu mbalimbali hata ile nyumba yake ghorofa mimi ndio niliemalizia ile nyumba.tulikuwa tunakutana sana Isamilo lodge na Gold crest, tumelala sana pale .
Alipoulizwa sababu ya kwanini aliachana na Aslay ,mwanadada huyo kwa dharau kabisa alisema kuwa alichoka kuombwa ela na aslay na ndipo alipomuakumuacha.
" Tuliachana kwa sababu mapenzi yana mwanzo na mwisho,yaani sikumbuki lini ila anaomba sana ela, unajua mtu ukiombwa saa ela unachoka nikamwamcha.

Subscribe to:
Posts (Atom)