Diamond Platinumz na mpenziwe mamake waenda kubarizi pamoja.
- Diamond na Rally wamekuwa wakikutana lakini hawajawahi kuweka mtandaoni picha zao pamoja .Rally kwa mara ya kwanza aliweka picha mtandaoni, yake na Diamond pamoja .Kutokana na picha hiyo, ni wazi kwamba Diamond na mpenziwe mamake ni marafiki wa karibu Rally, ambaye ni mdogo sana zaidi ya mamake Diamond, Sandra, alithibitisha hilo kwa kuweka picha hiyo mtandaoni.
- Katika mtandao wa Instagram Alhamisi Julai 12, Rally aliweka picha hiyo iliyoonyesha kuwa wawili hao walikuwa kwa umma. Picha hiyo ilipigwa katika eneo ambalo halikutambulishwa na pia iliwekwa mtandaoni na Diamond pia.
- Picha hiyo iliwekwa mtandaoni wiki kadhaa baada ya Rally kusema mamake Diamond alikuwa ni mkewe. Tangazo hilo lilishangaza wengi kwani inakaa wawili hao tayari walihalalisha uhusiano wao. Awali, watu wengi walimshambulia mamake Diamond kwa kuingia katika uhusiano na kijana wa umri mdogo. jeffplatnezzmusic.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa jeffawalamusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffawalamusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0723410366 na kwenye facebook: jeff platnezz..
Do you have a hot story or scandal you would like me to publish, please reach me through jeffawala@gmail.com or telephone: 0723410366 and facebook: jeff platnezz jeffawalamusic.blogspot.com