Diamond Platnumz unayemjua ‘amerejea’ baada ya kuibua tetesi alikuwa amekonda...-Chibu amekuwa akizungumziwa kwa kupoteza kilo nyingi katika muda wa miezi kadhaa iliyopita -Inakaa mwanamuziki huyo kutoka Tanzania amesikia wito wa mashabiki na kuanza kwenda mazoezi -Picha zake kadhaa zake zinaonyesha kuwa anafanya mazoezi na amefanikiwa -Amebadilika kabisa kwa kuzingatia kuwa ni wiki mbili zilizopita ambapo alionekana ni kama mwenye hapati usingizi wa kutosha.Tanzanian superstar Diamond Platnumz has bounced back to his more marketable physique barely two weeks after he was heavily criticized for losing weight. Curious fans have been on the singer’s case regarding his physique since his infamous break up with Zari Hassan on February 14, 2018. Kabla ya kuachwa, Diamond alionekana kukaa vizuri katika picha alizopigwa akiwa na Zari. Alikuwa akivutia sana kwa jinsi alivyokaa. Wakati wa kuzindua kituo chake cha televisheni, meneja wake Babu Tale alisema kuwa sababu ya kupoteza kilo ilitokana na kuwa hakuwa akipata usingizi wa kutosha.
jeffplatnezzmusic.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa jeffawalamusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffawalamusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0723410366 na kwenye facebook: jeff platnezz..
Do you have a hot story or scandal you would like me to publish, please reach me through jeffawala@gmail.com or telephone: 0723410366 and facebook: jeff platnezz jeffawalamusic.blogspot.com