Mwanamuziki huyo anaelezea msitari ‘kwenye uvungu upare miwa’ , kumaanisha mwanamke achezee juu ya miwa. Kwa mtu anayeelewa lugha ya kimapenzi, basi miwa unajua ina maana gani. "Paka mate niteleze kama nyoka pangoni" ni mstari mwingine ulio na maana nzito sana ambapo Harmonize alicheka tu huku akijikakamua kuelezea maana yake. ‘Unapenda juu ama chini’ ni mmoja wa msitari mingine ambayo ina maana fiche-binti awe juu au chini wakati wa kujamiiana. Wakati wa mahojiano na Capital FM, ilibainika kuwa wimbo huo ni wa ngono. Hatua kwa hatua alielezea mtangazaji wa Capital Kui Kabala maana ya wimbo huo ambao umekuwa maarufu sio tu Tanzania lakini Kenya pia.
Wimbo huo unahadithia changamoto za uhusiano wa kisasa. Kwa wakati mmoja, Harmonize anaeleza msitari mmoja wa wimbo huo unaomaanisha mwanamke ainame ili aweze kushiriki mapenzi.
I think of myself as a hard-working person but at the same time I like to enjoy the life i live i consider myself ambitious with the work; I always have a new goal to achieve. To some extent, you never stop learning so everyone should be ambitious about work. i take music as a big part of our lives and music can help us to pass the time or to connect us to our roots for me listening to music takes the whole brain and has positive and beneficial effect.
Tuesday, July 31, 2018
Hatimaye Harmonize aeleza maana ya wimbo ‘Kwangwaru’ ni chafu sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa jeffawalamusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffawalamusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0723410366 na kwenye facebook: jeff platnezz..
Do you have a hot story or scandal you would like me to publish, please reach me through jeffawala@gmail.com or telephone: 0723410366 and facebook: jeff platnezz jeffawalamusic.blogspot.com