Tetesi kwamba mtoto wa Bahati sio wake zachacha kutokana na picha hii....
- Mwanamuziki huyo alisemekana kumfanyia bintiye uchunguzi wa DNA awali -Matokeo hayo hayakutangazwa hadharani -Mashabiki wengi wanaamini kwamba mtoto huyo, Heaven, hafanani na Bahati Tetesi kwamba mwanamuziki Bahati analea mtoto asiye wake zinaendelea kuchacha. Madai hayo yalikuwa mengi kiasi kwamba mwanamuziki huyo alionya vyombo vya habari kukaa kando na kuachana na familia yake na badala yake kuangazia muziki wake pekee .
- Lakini watumiaji wa mitandao ya kijamii huwa tu na njia ya kuchunguza maisha ya kibinafsi ya mtu hasa ukiwa maarufu. Katika taarifa iliyowekwa Facebook na Max Mula Tegemeo iliyoonekana Jumatatu Juni 18, mashabiki walieleza kuwa mkewe, Diana, huenda alidanganya katika ndoa. Wengi wanafikiria kuwa mtoto huyo hafanani na Bahati kutoka macho hadi mashavu Tetesi ziliibuka kwamba Bahati alimfanyia uchunguzi wa DNA mtoto huyo ingawa matokeo hayo hayajatangazwa hadharani.
- Ripoti za awali zilionyesha kuwa hata majirani walidai kuwa Bahati na mkewe Diana waligombana, na kwamba matokeo hayo yaliwasilishwa kwa mlinda lango.Baadaye mkewe aliandika mtandaoni ‘Daddy’s little Princess’ kama njia ya kuua tetesi hizo.
- Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa jeffplatnezzmusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0738747996 na kwenye facebook: jeff platnezzjeffplatnezzmusic.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa jeffawalamusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffawalamusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0723410366 na kwenye facebook: jeff platnezz..
Do you have a hot story or scandal you would like me to publish, please reach me through jeffawala@gmail.com or telephone: 0723410366 and facebook: jeff platnezz jeffawalamusic.blogspot.com