Friday, July 13, 2018

Willy paul yumo katika uhusiano wa kimapenzi na Nandy

Willy Paul yumo katika uhusiano wa siri na mwanamuziki wa Tanzania?

  • Mwanamuziki mbishi wa nyimbo za injili Willy Paul kwa mara nyingine tena anaangaziwa huku madai yakimwandama kuwa yumo katika uhusiano wa kimapenzi na mwanamuzki wa Tanzania, Nandy.Willy na Nandy wanashukiwa kuwa wapenzi baada ya picha zao kutokea katika hali ya kutiliwa shaka .Hata hivyo, wawili hao wamekana kuwa wapenzi katika mahojiano ampapo wamesema huwa wanafanya kazi pamoja na sio zaidi ya hapo .Willy Paul na Nandy hivi majuzi walifanya kazi pamoja katika wimbo Njiwa . 
  • Willy na wamekuwa wakigonga vichwa vya habari Juni na Julai baada ya picha zao katika hali ya kutatanisha kutokea mitandaoni .Kilichoanza kama ushirikiano wa kimuziki kati ya wawili hao kimewaacha mashabiki wengi na maswali ambayo hayajibiwa. Picha nyingi zao wakiwa karibu sana zimewaacha wengi kushangaa ikiwa kuna kitu kinaendelea kati yao. 
  • Imeibuka kuwa wawili hao wanakaa sana pamoja nchini Kenya au Tanzania, hatua ambazo zinazipa nguvu tetesi .Lakini katika maohojiano tofauti, wamekana kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kusema walicho nacho ni uhusiano wa kikazi. jeffplatnezzmusic.blogspot.com
  •  Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependajeffplatnezzmusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffplatnezzmusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0738747996 na kwenye facebook: jeff platnezz..

No comments:

Post a Comment

Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa jeffawalamusic.blogspot.com nichapishe? Wasiliana nami kwa jeffawalamusic.blogspot.com, jeffawala@gmail.com , kwenye nambari: 0723410366 na kwenye facebook: jeff platnezz..

Do you have a hot story or scandal you would like me to publish, please reach me through jeffawala@gmail.com or telephone: 0723410366 and facebook: jeff platnezz jeffawalamusic.blogspot.com